0 Comment
Mahakama ya Juu ya Brazil iliidhinisha mtandao wa X zamani Twitter kurejea tena na huduma nchini humo siku ya Jumanne, baada ya mtandao huo wa kijamii kubadili namna ya uendeshaji wake na kuanza kutii maamuzi ya mahakama ambayo mmiliki wake bilionea Elon Musk alikuwa ameapa kukataa. Jaji wa Mahakama ya Juu Alexandre de Moraes, ambaye... Read More