0 Comment
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akitembelea mabanda katika Kongamano la tisa la Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na Maonesho (STICE 2024) lililoanza leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza... Read More