0 Comment
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameauwa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu ya shingoni na maeneo mbalimbali... Read More