0 Comment
Na Mwandishi wetu Tanga, *Naibu waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko amewataka wazazi na walezi Nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili kupata Taifa bora na viongozi bora wa kesho huku akiipongeza benki ya NMB kwa kushirikiana na serikali kuboresha sekta ya elimu Nchini.... Read More