0 Comment
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameipongeza Bodi ya Korosho kwa hatua ya kimkakati ya kuwakomboa wakulima kiuchumi njiani Mtwara kwa kuanza ujenzi wa Kongani ya Viwanda vya Kubangua Korosho. Amezitoa pongezi hizo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi huo tarehe 1 Oktoba 2024 ambapo Bw. Francis Alfred, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi... Read More