0 Comment
Nchini Rwanda, watu watano zaidi wameripotiwa kufariki kutokana na maambukizo hatari ya virusi vya Marburg na kufikisha idadi kamili ya waliofariki kuwa 11 kwa mujibu wa Wizara ya afya kwenye taifa hilo. Watu 29 wamethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo tangu mwazoni mwa tarehe 27 ya mwezi Septemba wakati kisa cha kwanza kiliporipotiwa. Kwa mujibu wa Wizara... Read More