“Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi hadi sasa, nitoe pole kwa CHADEMA kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe wa Sekretarieti Bwana Ali Kibao, nimekuwa nikifuatilia sisi ni Vyama vya Siasa, linapokuja suala la ubinadamu siasa unaweka pembeni, nawapa pole kwa msiba na Mimi niombe Jeshi la Polisi likatimize wajibu wake wa kuendelea na uchunguzi wa jambo hili” —— Katibu wa NEC- Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Wilayani Simanjiro leo September 08,2024
The post Video: CCM watoa tamko juu ya kutekwa na kuuawa kwa MZEE Ali Kibao wa Chadema first appeared on Millard Ayo.