Mkuu wa mkoa Mhe. Rosemary Senyamule,akizungumza leo Septemba 23,2024 jijini Dodoma wakati wa mapokezi ya Madaktari watakaofanya kazi za Kibingwa na Bingwa Bobezi sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wa Afya waliopo kwenye ngazi za msingi.

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya,akizungumza wakati wa mapokezi ya Madaktari watakaofanya kazi za Kibingwa na Bingwa Bobezi sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wa Afya waliopo kwenye ngazi za msingi.
Sehemu ya Madaktari wakimsikiliza Mkuu wa mkoa Mhe. Rosemary Senyamule (hayupo pichani) ,akizungumza leo Septemba 23,2024 jijini Dodoma wakati wa mapokezi ya Madaktari watakaofanya kazi za Kibingwa na Bingwa Bobezi sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wa Afya waliopo kwenye ngazi za msingi.
Mkuu wa mkoa Mhe. Rosemary Senyamule,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwapokea Madaktari watakaofanya kazi za Kibingwa na Bingwa Bobezi sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wa Afya waliopo kwenye ngazi za msingi.