“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Septemba, 2024.

09/27/2024
0 Comment
81 Views
Live: Rais Samia akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi.
“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe... Read More