Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, Jijini New York, Marekani Septemba 29, 2024. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (wa tatu kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu (wa pili kulia) na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi (wa pili kushoto) baada ya mazungumzo yao Jijini New York, Marekani Septemba 29, 2024. Wengine Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu (kulia) na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)