Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akisalimiana na Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said
alipomtembelea rais huyo ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona ni namna gani klabu hiyo itashirikiana na JKCI katika kuchangia matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ya kuona ni namna gani klabu hiyo itashirikiana na JKCI katika kuchangia matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo, kutoa uelewa kwa jamii kuhusu magonjwa ya moyo na kutangaza huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said na wafanyakazi wa JKCI wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazungumzo ya kuona namna ambavyo klabu hiyo itashirikiana na JKCI katika kuchangia matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo,kutoa uelewa kwa jamii kuhusu magonjwa ya moyo na kutangaza huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.