Kaimu Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma – Idara ya Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ona Machangu akizungumza jambo wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa Mpox na Marburg iliyofanyika leo Oktoba 4, 2024 katika Ukumbi wa CTC , Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam (PICHA NA NOEL RUKANUGA)
Mratibu wa Utafiti, Huduma ya Afya ngazi ya Jamii Daktari Bigwa wa Wizara ya Afya, Dkt. Norman Jonas akizungumza jambo wakati akitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa Mpox na Marburg iliyofanyika leo Oktoba 4, 2024 katika Ukumbi wa CTC , Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakiwa katika mafunzo ya kujengewa uwezo na Wizara ya Afya kuhusu kuhusu ugonjwa wa Mpox na Marburg.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma – Idara ya Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ona Machangu akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari.
…………