Wananchi
wa Jimbo la Paje lililopo katika Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja
wakiwa katika moja ya vituo kujiandikisha na kuboresha taarifa zao
kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura,leo tarehe 7 Oktoba,2024. Uboreshaji
wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar umeanza leo Oktoba 07 hadi
Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00
asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina
Omari (kushoto) leo Oktoba 07, 2024 ametembelea vituo vya kuandikishia
Wapiga Kura katika Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Magharibi,
Zanzibar katuika siku ya kwanza ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura Visiwani Zanzibar. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura Zanzibar umeanza leo Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo
vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00
jioni.

wakiwa katika moja ya vituo vya kujiandikisha kuwa Mpiga Kura katika
Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Magharibi wakisubiri kuandikishwa na
kuboresha taarifa zao. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Zanzibar umeanza leo Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa
vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Omari akizungumza jambo na wananchi waliojitokeza katika Kituo cha Skuli
ya Sekondari ya Mfenesini Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini
Magharibi, Zanzibar kwaajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zao
katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu
la Wapiga Kura Zanzibar umeanza leo Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na
vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa
12:00 jioni.

Omari akiangalia bango la kituo katika Kituo kilichopo Chuo cha Mwalimu
Nyerere Kampasi ya Karume.
Wananchi
waliojitokeza katika vituo vilivyopo Jimbo la Mtoni katika kituo cha
SUZA Beilt Eil Ras ambacho kinahudumia wananchi wa Shehia ya Kibweni,
Wilaya ya Mgaharibi A Mkoa wa Mjini Magharibi.
waliojitokeza katika vituo vilivyopo Jimbo la Mtoni katika kituo cha
SUZA Beilt Eil Ras ambacho kinahudumia wananchi wa Shehia ya Kibweni,
Wilaya ya Mgaharibi A Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina
Omari akiangalia mwananchi aliyefika kujiandikisha akiweka saini katika
kishkwambi katika moja ya vituo vilivyopo SUZA Beilt Eil Ras.

Moja ya mawakala kutoka vyama mbalimbali vya siasa waliopo katika vituo vya kuandikishia Wapiga Kura.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo Oktoba 07, 2024 ametembelea vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura Mkoa wa Kusini Pemba na Kaskazini Pemba
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akiwa katika moja yavituo vya Kuandikisha Wapiga Kura Mkoa wa Kusini Pemba na Kaskazini Pemba
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akitoka katika moja ya vituo baada ya kukitembelea leo Oktoba 07, 2024 vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura Mkoa wa Kusini Pemba na Kaskazini Pemba.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira leo tarehe 07 Oktoba, 2024 ametembelea vituo vya kuandikisha Wapiga Kura katika Jimbo la Makunduchi na Paje wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Unguja kuona namna zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linavyoendelea ikiwa ni siku ya kwanza. Uboreshaji wa Daftari Zanzibar unaendelea hadi tarehe 13 Oktoba, 2024 na vituo vinafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Wananchi mbalimbali wakiwa vituoni kuandikishwa na kuboresha taarifa zao.
Mwananchi akichukuliwa picha
Uboreshaji wa Daftari Zanzibar unaendelea hadi tarehe 13 Oktoba, 2024 na vituo vinafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Zakia Mohamed Abubakar akiangalia namna mpiga kura anavyoasajiliwa kwenye mfumo na Mwendesha BVR wakati Mjumbe hiyo alipotembelea baadhi ya vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura mkoa wa Kaskazini, Unguja. Uboreshaji wa Daftari Zanzibar unaendelea hadi tarehe 13 Oktoba, 2024 na vituo vinafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.