Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene unaogharimu shilingi bilioni 29.3 katika hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Uduka Wilaya ya Nzega akiwa ziarani mkoani Tabora. Tarehe 08 Oktoba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua maji wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene unaogharimu shilingi bilioni 29.3 iliyofanyika katika Kijiji cha Uduka Wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Tarehe 08 Oktoba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Bukene mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene unaogharimu shilingi bilioni 29.3 katika hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Uduka Wilaya ya Nzega akiwa ziarani mkoani Tabora. Tarehe 08 Oktoba 2024.