Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Tawi la CRDB Bukombe, Lusajo Mwaijande, wakati alipotembelea mabanda, kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024, yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita Octoba 11, 2024. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja Uhisiano na Elimu kwa Umma – NSSF Lulu Mengele, wakati alipotembelea mabanda, kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024, yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita Octoba 11, 2024. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024, yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita, Octoba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Walimu wakifurahia jambo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024, yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita, ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikua Mgeni Rasmi Octoba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024, yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita, Octoba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)