Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya mfano wa Satelati ikiwa ni ishira ya mwanzo wa safari ya utekelezaji wa programu ya miaka 5 ya masuala ya anga za juu ijulikanayo kama “From Mount Kilimanjaro the peak of Africa to Space”, kutoka kwa Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa, Oktoba 17, 2024, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mfano wa Chuo kitakachojengwa jijini Dodoma, kutoka kwa Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa Oktoba 17, 2024, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.