RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamnmed na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed akitowa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Barabara hizo za Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane.(Picha na Ikulu