Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda akisaini kitabu wa wageni wakati alipotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana Leo Oktoba 25, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya ,
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda akipata maelezo kutoka kwa Bertha Hyera Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana wakati alipotembelea katika banda hilo Leo Oktoba 25, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya, katikati na Thuwaiba Juma Afisa wa DIB.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda akiuliza baadhi ya mambo kutoka kwa Bertha Hyera Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea katika banda hilo Leo Oktoba 25, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya, katikati na Thuwaiba Juma Afisa wa DIB.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda akipokea zawadi kutoka kwa Thuwaiba Juma Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea katika banda hilo Leo Oktoba 25, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda akipokea zawadi kutoka kwa Bertha Hyera Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea katika banda hilo Leo Oktoba 25, 2024 kwenye Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi,” yanayofanyika katika Viwanja vya Luanda-Nzovwe jijini Mbeya, kushoto ni Thuwaiba Juma Afisa wa DIB.