Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (Kushoto), akimsikiliza Afisa Usimamizi Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Jackson Mushumba, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (Kushoto), akioneshwa namna ya kupakua hati ya Mshahara (Salary Slip) katika mfumo wa Salary Slip Portal, kwa kutumia simu janja, na Afisa Tehama Mwandamizi, Wizara ya Fedha, Bi. Zaina Mwanga, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayoendelea katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka jijini Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (Kulia), akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa SELF, Bi. Santieli Yona, alipotembelea Banda la Mfuko huo katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (kulia), akimsikiliza Afisa Miradi wa Shirikisho la Taasisi za Kifedha – TAMFI, Bi. Georgina Masamu (kushoto), alipotembelea Banda la Mfuko huo katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani. Katikati ni Mratibu wa Miradi -TAMFI, Bi. Theresia Kato.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (kulia), akikabidhiwa vitabu vya elimu ya bima kutoka kwa Afisa Benki kutoka Bodi ya Bima ya Amana, Bi. Thumaiba Juma, alipotembelea Banda la Bodi hyio katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (kulia), akioneshwa namna Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) inayotekeleza Programu ya kutoa elimu ya masoko ya mitaji kwa vijana waliopo vyuoni na Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa CMSA, Bw. Charles Shirima, alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (kulia), akimsikiliza wa Afisa Mkuu wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Maendeleo -TIB, Bw. Bryson Mwanga, alipotembelea Banda la Benki hiyo katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (Kushoto), akimsikiliza Afisa Uhusiano kutoka Benki ya Walimu Tanzania (Mwalimu Commercial Bank-MCB), Bw. Mondrane Chigata, kuhusu huduma zinazotolewa na Benki hiyo, wakati alipotembelea Banda la Benki hiyo katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi” yanayofanyika katika viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda (Katikati) na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisas Waandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, baada ya kutembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi” yanayofanyika katika viwanja vya Ruanda-Nzovwe, jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Mbeya).
…….
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, ametembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yamezikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Bi. Seneda, amewapongeza washiriki wa Maadhimisho hayo kwa huduma mbalimbali walizoziandaa kwa wananchi wanaotembelea na kuwaasa waendelee kutoka elimu ya fedha kwa mikoa mingine pia ili kuweza kufikia lengo la Serikali la asilimia 80 ya wananchi kupata uelewa wa masuala ya fedha ifikapo mwaka 2025.