Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akiingia katika Hoteli ya The MORA ilioko Matemwe kwa ajili ya Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit katika hafla itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli hio ilioko Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit katika hafla itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli ya THE MORA ilioko Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza kuhusiana na Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit hafla ambayo itakusanya Watalii na Wasanii kutoka Sehemu mbalimbali itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli ya THE MORA ilioko Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akijibu maswali ya Waandishi wa Habari wakati akizungumza kuhusiana na Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit hafla ambayo itakusanya Watalii na Wasanii kutoka Sehemu mbalimbali itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli ya THE MORA ilioko Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga wanne kutoka kulia akiwa katika Picha ya Pamoja katika hafla ya Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit hafla ambayo itakusanya Watalii na Wasanii kutoka Sehemu mbalimbali itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli ya THE MORA ilioko Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
PICHA NO-0292-Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza na Waandishi wa Habari mara Baada ya kumaliza Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit hafla ambayo itakusanya Watalii na Wasanii kutoka Sehemu mbalimbali itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli ya THE MORA ilioko Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.30/10/2024)