Tayari mwili wa Mwigizaji Mkongwe Grace Mapunda ukiwa Nyumbani kwake Sinza Vatican kwaajili ya ibada fupi itakayofanyika Nyumbani hapo kisha Baadae kuelekea leaders mahali ambapo zitafanyika shughuli za mazishi ikiwemo kuaga Kisha kupelekwa makaburi ya Kinondoni kwaajili ya maziko
The post Grace Mapunda kuzikwa leo first appeared on Millard Ayo.