Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mabalimbali wakiimba wimbo wa Taifa wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sr Mary – John alipotembelea banda la maonesho la SAPIEN LABS – CERERAM iliyopo chini ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Arusha wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama machapisho mbalimbali wakati alipotembelea banda la maonesho la Student One Health Innovation Club (SOHIC) wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea mabanda ya maonesho wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kutembelea banda la maonesho la Idara ya Maafa wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga tuzo ya shukurani kwa kuku bali kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Kitaifa wa Afya Moja kwenye ukumbi wa Nyasa uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 4, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)