Na
Mwandishi wetu
Dar
es Salaam. Mashabiki wakubashiri wa kampuni inayotamba ya LEONBET Tanzania walipata burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu na
wachekeshaji maarufu nchini kwenye uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo uliopewa jina la CHEKA TU:
LEONBET EDITION.
Burudani
hiyo ya kisasa ilifanyika Novemba 8, 2024 kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki.
Mashabiki
wa vichekesho nchini walipata burudani
kutoka kwa wakali wa Cheka Tu, akiwemo Coy Mzungu, Ndaro, Asma, Mtumishi Obama,
na Chard Talent, ambao walihakikisha kuwa kila aliyehudhuria anatabasamu na
kufurahia uzinduzi huo.
Burudani
zaidi zilifuatia kwa muziki wa moja kwa moja kutoka kwa wasanii wakubwa wa
Tanzania, akiwemo Maua Sama na Jaivah, ambao walifanya tamasha kuwa la
kukumbukwa kwa mashabiki wote.
Katika
tukio hilo, Meneja Mkuu wa LEONBET Tumaini Maligana pamoja Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika
kwa LEONBET, Jérôme J. Dufourg katika
burudani hiyo.
Viongozi
hao wakuu wa LEONBET Tanzania waliwashukuru mashabiki wote waliofika katika uzinduzi huo
na kuwapa sapoti kubwa.
Maligana,
alitoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokeza na kwa kuunga mkono uzinduzi wa
brand yao.
“Ningependa
kuchukua muda mfupi tu kuitambulisha brand yetu ya LEONBET – Simba La Mikeka. LEONBET ni kampuni ya michezo ya ubashiri
iliyoingia rasmi Tanzania ili kuambatanisha burudani ya kubashiri kwenye
michezo na slots na kutoa fursa ya kutengeneza pesa,” alisema,
Kwa
upande wake, Dufourg, akiwakilisha mtazamo wa kimataifa wa LEONBET, alisisitiza dhamira ya kampuni hiyo
ya kuleta uzoefu bora wa michezo ya kubashiri kwa Tanzania.
“Tunafuraha
sana kuja Tanzania, tukijua kuwa tuna historia na uzoefu wa miaka 15 katika
sekta hii, na tunayo dhamira ya kutoa huduma ya kiwango cha juu kwa wateja
wetu. Tunaleta si tu ubashiri bali burudani ya hali ya juu kwa wateja wetu
nchini Tanzania,” alisema Dufourg.
Dufourg
aliendelea kueleza jinsi LEONBET inavyoweka msisitizo mkubwa
kwenye huduma bora za wateja.
“Tunataka
kuhakikisha kwamba mteja anafurahia uzoefu wake bila tatizo lolote. Kutoka kwa
malipo ya haraka, tovuti yenye kasi, hadi bonasi nyingi, tuko hapa ili
kurahisisha na kuboresha kila sehemu ya uzoefu wa kubeti na kucheza kasino,”
aliongeza.
Maligana
na Dufourg walifurahia kuwakilisha LEONBET kama sehemu ya mtindo wa maisha kwa wapenzi wa michezo na
burudani.
Maligana,
alieleza kuwa, kwa kujiunga na LEONBET, wateja wanaweza kufurahia ofa
mbalimbali mara tu wanapojisajili. “Tuna ofa kibao kwa ajili yako ukijiunga na
LEONBET. Ukijisajili tu, unapokea ofa ya kipekee!” alisema kwa tabasamu,
akiwasihi washiriki kuchangamkia fursa hiyo.
Alisema
kuwa uzinduzi wa LEONBET umeacha alama kubwa kwa
mashabiki wa vichekesho na wapenzi wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, na
kuthibitisha kuwa LEONBET ni zaidi ya kubeti—ni sehemu ya burudani na maisha
kwa watanzania wote.
Mkurugenzi
wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya
LEONBET, Jérôme J. Dufourg (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi
wa kampuni hiyo kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao uliopambwa na
burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu ya wachekeshaji maarufu nchini
uliopewa. Uzinduzi huo ulijulikana kwa jina la ‘CHEKA TU: LEONBET
EDITION’. Kushoto ni meneja mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana
Meneja
Mkuu wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya LEONBET, Tumaini Maligana
(kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo
uliofanyika kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki ambao ulipambwa na
burudani ya kisasa ya kuvunja mbavu kutoka kwa wachekeshaji maarufu
nchini. Uzinduzi huo uliopewa jina la “CHEKA TU: LEONBET EDITION. Kulia
ni Mkurugenzi wa Operesheni wa Kanda ya Afrika wa kampuni ya michezo ya
kubashiri ya LEONBET, Jérôme J. Dufourg.
Wachekeshaji
maarufu wa “CHEKA TU”, Ndaro ambaye ni balozi wa LEONBET akiwa na Coy
Mzungu wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni uliofanyika Novemba 8 kwenye
ukumbi wa Warehouse Masaki.