| Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
| Wawakilishi wa wanafunzi wakiwasilisha maoni yao katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
| Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) kufunguliwa rasmi. |
| Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
| Baadhi ya wanafunzi waliotoa burudani katika Kongamano hilo wakipata picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi. |
| Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
| Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
| Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
| Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
![]() |
| Mkutano wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) ukiendelea. |