Miili 13 ya Watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, inaagwa leo November 18,2024 kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi jioni katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam.
Tazama zaidi…
The post Vilio vyatawala, kuwaaga waliofariki katika ajali ya Kariakoo, wanajeshi wayabeba majeneza 15 first appeared on Millard Ayo.