JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA
MAREHEMU MHESHIMIWA DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE (31/03/1969 – 27/11/2024) RATIBA YA MAZISHI TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024, DAR ES SALAAM
______________
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MHESHIMIWA
DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE
TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024
29 NOVEMBA, 2024 (IJUMAA) | |||
MUDA | TUKIO | MAHALI | MHUSIKA |
6:35 Mchana | Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam kutokea India kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia na kupokelewa na:
• Naibu Spika • Wajumbe wa Tume • Katibu wa Bunge • Wawakilishi wa Serikali • Wawakilishi wa Chama |
Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam |
Mpambe wa
Bunge/Kamati ya Mazishi |
Mwili wa Marehemu
kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya JWTZ, Lugalo |
Mpambe wa
Bunge/Kamati ya Mazishi |
||
30 NOVEMBA – 01 DISEMBA, 2024
(JUMAMOSI NA JUMAPILI) |
|||
Maombolezo yanaendelea | Nyumbani kwa
Marehemu |
Kamati ya Mazishi | |
02 DISEMBA, 2024 (JUMATATU) | |||
12:40 – 1:15
Asubuhi |
Mwili wa Marehemu kuelekea Kanisa la St. Immaculate – Upanga | Upanga | • Mpambe wa
Bunge • Kamati ya Mazishi |
1:30 – 2:30
Asubuhi |
Misa Takatifu | St. Immaculate – Upanga | • Familia
• Kamati ya Mazishi |
2:00 – 3:00
Asubuhi |
Viongozi na Wageni
mbalimbali kuwasili: |
Viwanja vya
Karimjee |
• Itifaki
• Kamati ya Mazishi |
2
3:00 – 3:50
Asubuhi |
• Waheshimiwa
Wabunge Kuwasili • Waheshimiwa Mabalozi na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa kuwasili • Mheshimiwa Spika kuwasili • Mheshimiwa Waziri Mkuu kuwasili • Mheshimiwa Rais kuwasili |
Viwanja vya
Karimjee |
• Itifaki
• Kamati ya Mazishi |
4:00 Asubuhi | Mwili wa Marehemu
Mheshimiwa Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile kuwasili |
Viwanja vya
Karimjee |
• Mpambe wa
Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi • Familia |
4:00 – 4:20
Asubuhi |
Sala/Dua fupi | Viwanja vya
Karimjee |
• Mshereheshaji
• Viongozi wa Dini |
4:20 – 4:30
Asubuhi |
Wasifu wa Marehemu | Viwanja vya
Karimjee |
• Mbunge
atakayeteuliwa /Katibu wa Bunge |
4:30 – 4:35
Asubuhi |
Neno kutoka kwa Watoto wa Marehemu | Viwanja vya
Karimjee |
• Watoto |
4:35 Asubuhi –
5:30 Mchana |
SALAMU ZA POLE:
• Chama cha Madaktari Wanafunzi Tanzania (TAMSA) • Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) • Washirika wa Maendeleo katika Masuala ya Afya • Mwakilishi wa Wabunge wa Dar es Salaam • Mwakilishi wa WHO • Mwakilishi wa CCM |
Viwanja vya
Karimjee |
• Mshereheshaji |
3
• Mwakilishi wa
Wabunge Walio Wachache • Mheshimiwa Waziri Mkuu • Mheshimiwa Spika • Mheshimiwa Rais • Neno la shukrani kutoka kwa Mwanafamilia |
|||
6:30 – 8:00
Mchana |
Mheshimiwa Rais
kuwaongoza Viongozi na Wageni mbalimbali kutoa heshima za mwisho |
Viwanja vya
Karimjee |
• Mpambe wa
Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
8:30 Mchana | Mwili wa Marehemu kuelekea Nyumbani kwa Marehemu | Kigamboni | • Mpambe wa
Bunge • Kamati ya Mazishi |
3 DISEMBA 2024 (JUMANNE) | |||
2:00 Asubuhi | Mwili wa Marehemu kuelekea Viwanja vya Machava kwa ajili ya Wananchi kutoa heshima za mwisho | Kigamboni | DC/Mpambe wa
Bunge/Kamati ya Mazishi |
8:00 Mchana | Mwili wa Marehemu kuelekea Kanisa la Bikira Maria
Consolata kwa ajili ya Misa ya Mazishi |
Kigamboni | Mpambe wa
Bunge/Kamati ya Mazishi |
9:00 Alasiri | Msafara wa mwili wa
Marehemu kuondoka kanisani kuelekea Makaburi ya Mwongozo |
Kigamboni | • Mpambe wa
Bunge • Itifaki • Kamati ya Mazishi |
9:30 – 11:30
Alasiri |
Mazishi | Kigamboni | Familia/Mpambe wa Bunge/Kamati ya
Mazishi |
MWISHO |
4