Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Wa tano kutoka kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Innocent Bashungwa (wa kwanza kulia) Naibu Waziri wa Nishati Mhe Judith Kapinga ( Wan ne kutoka kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule
(Wa nne kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge (wa tatu kutoka kulia), Katbu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa tatu kutoka kushoto) na Mkuu Mkoa wa Morogoro Adam Malima ( wa pili kutoka kulia) wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi la Ujenzi wa Njia ya kusafirisha Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme vya Zuzu-Dodoma na Chalinze Pwani tarehe 11 Desemba 2024, Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Wa tano kutoka kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Innocent Bashungwa (wa kwanza kulia) Naibu Waziri wa Nishati Mhe Judith Kapinga ( Wan ne kutoka kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule
(Wa nne kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge (wa tatu kutoka kulia), Katbu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa tatu kutoka kushoto) na Mkuu Mkoa wa Morogoro Adam Malima ( wa pili kutoka kulia) wakipiga makofi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Njia ya kusafirisha Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme vya Zuzu-Dodoma na Chalinze Pwani tarehe 11 Desemba 2024, Jijini Dodoma.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dkt.Doto Biteko,akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi la utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma na upanuzi wa vituo vya kupoza umeme vya kilovoti 400 Chalinze-Pwani na Zuzu-Dodoma hafla iliyofanyika leo Disemba 11,2024 jijini Dodoma.
Muonekano wa Kituo cha umeme cha Zuzu Dodoma ambacho kitapanuliwa chini ya mradi wa Upanuzi