Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita akikabidhiwa Kombe na Mkuu wa Kikosi Cha KVZ Meja Said Ali Shamuhuna huko Mtoni Wilaya ya Magharibi B, katika Sherehe ya kuipongeza Timu ya Netball ya KVZ (KVZ Queens) kufuatia kufanya vizuri katika Kombe la Muungano, lililofanyika Jijini Dar-es-salaam.
Mkuu wa Kikosi Cha KVZ Meja Said Ali Shamuhuna akizungumza na Maafisa na Wapiganaji wa kikosi Cha KVZ (hawapo pichani) katika Sherehe ya kuipongeza Timu ya Netball ya KVZ (KVZ Queens huko Mtoni Wilaya ya Magharibi A ambapo timu hiyo ilipata ushindi katika Kombe la Muungano lilifanyika Jijini Dar-es-salaam.
Mkuu wa Kikosi Cha KVZ Meja Said Ali Shamuhuna akimvisha cheo mmoja kati ya Wachezaji wa timu ya KVZ Queens huko Mtoni Wilaya ya Magharibi A ambapo Timu hiyo ilipata ushindi katika Kombe la Muungano lilifanyika Jijini Dar-es-salaam.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita akibadilishana mawazo na Mkuu wa Kikosi Cha KVZ Meja Said Ali Shamuhuna katika sherehe ya kuipongeza Timu ya KVZ Queens huko Mtoni Wilaya ya Magharibi A ambapo Timu hiyo ilipata ushindi katika Kombe la Muungano lilifanyika Jijini Dar-es-salaam.
Picha .NO-05. Katibu wa Michezo KVZ Captain Hassan Omar akitoa maelezo katika Sherehe ya kuipongeza Timu ya KVZ Queens kufuatia kupata ushindi katika mashindano ya Muungano yaliofanyika Jijini Dar-es-salaam, Sherehe ambazo zimefanyika Mtoni Wilaya ya Magharibi A.
Picha .NO-06. Baadhi ya Washiriki na Wachezaji wa Timu ya KVZ Queens wakiwa katika sherehe ya kuipongeza Timu hiyo, kufuatia kupata ushindi katika mashindano ya Muungano yaliofanyika Jijini Dar-es-salaam, Sherehe zimefanyika Mtoni W
ilaya ya Magharibi A.