SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akifungua kikao kazi cha wakuu wa idara za utawala na usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi wa Umma kilichoanza leo Disemba 17,2024 jijini Dodoma kwa siku tatu.

Naibu Waziri Ofisi wa Raisi,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bwana Deus Clement Sangu,akizungumza wakati wa kikao kazi cha wakuu wa idara za utawala na usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi wa Umma kilichoanza leo Disemba 17,2024 jijini Dodoma kwa siku tatu.
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa umma na utawala bora na Mwenyekiti na Mratibu Mkuu wa Kikao hicho Bw.Juma Mkomi,akitoa taarifa ya kikao kazi cha wakuu wa idara za utawala na usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi wa Umma kilichoanza leo Disemba 17,2024 jijini Dodoma kwa siku tatu.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma Bi.Felister Shuli,akizungumza wakati wa kikao kazi cha wakuu wa idara za utawala na usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi wa Umma kilichoanza leo Disemba 17,2024 jijini Dodoma kwa siku tatu.