Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo mara baada ya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.