Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni na Naibu Waziri wake Mhe. Khamis Hamza Khamis wakishiriki akiongoza kikao cha kuwasilisha taarifa ya mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano Zanzibar na taarifa ya utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma leo Januari 21, 2025.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akiwasilisha taarifa kuhusu utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo na mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano Zanzibar kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma leo Januari 21, 2025.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akishiriki kikao cha kuwasilisha taarifa ya mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano Zanzibar na taarifa ya utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma leo Januari 21, 2025.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi wakishiriki kikao cha kuwasilisha taarifa ya mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano Zanzibar na taarifa ya utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma leo Januari 21, 2025.
Wajumbe Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kupokea na Kujadili Taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kuhusu taarifa ya mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano na Taarifa ya utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo leo Januari 21, 2025.