Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa,akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma na Morogoro (hawapo pichani) akielezea utekelezaji wa Serikali wakati wa Mkutano uliofanyika leo Januari 25,2025 katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi,Morogoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa,akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma na Morogoro akielezea utekelezaji wa Serikali wakati wa Mkutano uliofanyika leo Januari 25,2025 katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi,Morogoro.
Sehemu ya Waandishi wa habari pamoja na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa,(hayupo pichani) akielezea utekelezaji wa Serikali wakati wa Mkutano uliofanyika leo Januari 25,2025 katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi,Morogoro.
Na.Alex Sonna-MIKUMI MOROGORO