Viongozi mbalimbali wakihudhuria mkutano wa mawaziri wa Nishati na mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika pamoja na wadau wa maendeleo kuhusu Nishati ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC jijini Dar es salaam leo Januari 27, 2025.