Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 1,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, wakati aliposhiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 1. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia baadhi ya Wabunge wakiume walioshiriki kwenye mbio za mita 100, wakati aliposhiriki kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 1. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia baadhi ya Wabunge wanawake walioshiriki kwenye mbio za mita 100, wakati aliposhiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la miches la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 1, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Tamasha la michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja via John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 1. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).