Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa Nguzo Nane wilayani Maswa ambapo alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu, Februari 16, 2025 . Kushoto ni Mbunge wa Maswa Mashariki na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa Vijana wa CCM alipowasili kwenye Uwanja wa Nguzo Nane, Maswa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Mkoani Simiyu, Februari 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguzo Nane, Maswa mkoani Simiyu, Februari 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Maswa Mashariki na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguzo Nane, Maswa mkoani Simiyu, Februari 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)