Je unajua ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana wewe kuondoka na kitita cha mkwanja hasa leo kwasababu kampuni hiyo ya ubashiri wamekujia na BET BOOST ambayo hii unapata faida mara mbili endapo mkeka wako utatiki.
Bet Boost ni huduma mpya na ya kipekee ambayo Meridianbet inaitoa kwenye mechi ambayo hii ni kwaajili ya kuboresha ODDS zako ili kupata faida kubwa.
Kwa kutumia Bet Boost mchezaji anapata nafasi ya kuongeza thamani ya dau lako na hivyo kuongezeka kwa nafasi ya kushinda zaidi. Kumbuka kuwa huduma hii inapatikana kwenye michezo mbalimbali ambayo kampuni hiyo inakuwa imekuchagulia.
Mfano kwenye Soka, mechi ya Manchester City vs Real Madrid
● Bila Bet Boost: Odds za Man City kushinda ni 2.50, na Real kushinda ni 3.00.
● Kwa Bet Boost: Odds za Man City kushinda zinaweza kuboreshwa hadi 3.00, huku Odds za Real Madrid zikipanda hadi 3.50. Hii ina maana kwamba ushindi wako unaweza kuongezeka zaidi, kama ukiweka 1000 na ukampa City ashinde utapata 3000, badala ya 2500.
Vilevile Bet Boost inaweza kuwepo hata kwenye michezo mingine tofauti na Soka, mfano kwenye Tenis,
Naomi Osaka vs Serena Williums
● Bila Bet Boost : Odds za Naomi kushinda ni 1.90, na Serena kushinda ni 2.80.
● Kwa Bet Boost: Odds za Naomi zinaweza kupanda hadi 2.30, na Serena kufikia 3.20, kwa hiyo faida ya kushinda mkwanja inaongezeka zaidi.
Pia endelea kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao ujipatie pesa za papo kwa hapo.
Meridianbet ndio ambao huchagua ligi na timu ya kuweka Bet Boost. Mfano EPL mechi kati ya Aston Villa vs Liverpool inapewa Bet Boost, ambapo hii inawawezesha kupata faida kubwa zaidi kuliko zile ambazo wangepata kawaida.
● Fursa za Kipekee: Bet Boost inawapa wachezaji nafasi ya kuboresha dau lao na kushinda zaidi.
● Rahisi Kutumia: Utaratibu wa kutumia Bet Boost ni rahisi na unapatikana kwenye jukwaa lako la kubashiri.
● Michezo Mingi Inayopatikana: Bet Boost inapatikana kwenye michezo mbalimbali, iwe ni soka, tenisi, au michezo mingine ya kuvutia.
Bet Boost ni chaguo bora sana kwako, anza kuitumia sasa ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kuondoka na kitita cha maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet.
Kumbuka: Bet Boost ni fursa ya kipekee, hivyo hakikisha unachangamkia fursa hii kupata pesa zaidi ya kawaida. Jisajili hapa.