RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 17-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 17-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO ya Kuthamini Juhudi yake katika Kukondoisha Masuala ya Jinsia Zanzibar,akikabidhiwa na Mjumbe wa (UWAWAZA) Mhe. Mwantatu Mbarak Khamis,baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 17-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)