ni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya maridhiano ( Maridhiano Day), iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mkoani Arusha, ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo, FebruarI 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kaassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Dkt Alhad Mussa Salum, nje ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mkoani Arusha, wakati alipowasili kwenye Maadhimisho ya Siku ya maridhiano (Maridhiano Day), alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo February 26, 2025. Katikati ni Naibu Waziri wa Mambo Ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)