mawakala zaidi ya 60 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ilikurudisha
shukurani kwao kutokana na kile wanachokifanya ikiwa ni maadhimisho ya
miaka 35 tangu kuanzishwa kwa Kampuni hiyo.
Maadhimisho hayo yamefanyika Februari 29,2025 katika hoteli ya Hayyt legency jijini Dar es salaam.
Meneja
Mauzo kutoka Kampuni hiyo Salman Khan amesema mawakala hao ni chanzo
cha mafanikio makubwa kwani wamesaidia kupatika mauzo ya zaidi ya Lita
bilioni 26 tangu wameanza na hiyo nizaidi ya pisi laki 6.
“Sisi
ni waanzilishi na wabobezi wa hii biashara hasa katika uzalisha wa haya
matenki na tumekuja na teknolojia tofauti ikiwemo unbreakable tanki
ikiwa na garantee ya miaka 25,”amesema.
Naye Wakala kutoka Mbezi
Beach Suleiman Seif amesema Simtank haina mashindani kwani imekuwa
ikipendwa na watu wengi na ndani ya mwenzi mmoja unaweza uza tanki zaidi
ya 50 za lita 1000 na hiyo nikutokana na uhitaji wa watu.
Mwanzilishi wa Kampuni ya Silafrika Tanzania inayozalisha bidhaa za
Simtank, Gulab Shah (wapili kushoto), akikabidhi cheti na zawadi ya
mfano wa ufunguo wa Gari kwa mlliki wa Kampuni ya Ravi Group, Ravindra
Chadarana baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika hafla ya
kusheherkrea miaka 35 ya utoaji huduma iliyoambanana na kuwapongeza
Mawakala wa bidhaa za SIMTANK nchini. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
Silafrika, Alpesh Patel na Sachin Dawda mwakilishi wa Kampuni ya Ravi
Group.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Silafrika, Alpesh Patel akizungumza na wanahabari
wakati wa hafla ya kusheherkrea miaka 35 ya utoaji huduma iliyoambanana
na kuwapongeza Mawakala wa bidhaa za SIMTANK nchini.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Silafrika, Alpesh Patel Akikabidhi cheti na zawadi
maalum Kwa mmoja ya mawakala wanafanya vizuri wakati wa hafla ya
kusheherkrea miaka 35 ya utoaji huduma iliyoambanana na kuwapongeza
Mawakala wa bidhaa za SIMTANK nchini.