Baadhi ya watumishi wanawake wa Chama cha Mawakili wa Serikali, wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa jijini Dodoma Kimkoa yenye kaulimbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.
…..
CHAMA cha Mawakili wa Serikali Wanawake,wameungana na Watanzania wengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani,katika Mkoa wa Dodoma ambayo yamefanyika Kimkoa ,ambapo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri , ameongoza maadhimisho hayo yakiwa yamebeba kauli mbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.
Baadhi ya watumishi wanawake wa Chama cha Mawakili wa Serikali, wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa jijini Dodoma Kimkoa yenye kaulimbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.
Picha mbalimbali zikiwaonyesha watumishi wanawake wa Chama cha Mawakili wa Serikali, wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa jijini Dodoma Kimkoa yenye kaulimbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.