

Picha za maandamano ya wanafunzi wakiingia uwanjani kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inayofanyika katika uwanja wa Stadium mkoani Arusha
Happy Lazaro,Arusha .
Viongozi wa serikali, sekta binafsi pamoja na wananchi wa Maeneo mbalimbali wakiwa kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kushuhudia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani hapa, mgeni rasmi akiwa ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Hata hivyo Rais Samia tayari ameshawasili katika.viwanja vya stadium mkoani Arusha kwa ajili ya maadhimisho hiyo .