Mwenyekiti wa Jukwaa la Watumiaji Tanzania (TCF) Daud Daud akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya Siku ya Haki ya Watumiaji Duniani itayofanyika Machi 15 mkoani Morogoro.
Katibu Mtendaji wa TCRA CCC Mary Msuya akitoa maelezo kuhusiana na umuhimu wa Mawasiliano kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Haki ya Watumiaji Duniani,jijini Dar es Salaam.