RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akibeba jeneza likiwa na mwili wa Marehemu Maryam Maziku, mzee wa Jimbo la Kwahani Zanzibar,katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya Sala ya Maiti iliyofanyika katika Msikiti huo leo 12-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Maiti kumsalia Marehemu Maryam Maziku, mkaazi wa Kwahani Jimbo la Kwahani Zanzibar, Sala hiyo iliyofanyika katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-3-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti kumsalia Marehemu Maryam Maziku mkaazi wa Kwahani Jimbo la Kwahani Zanzibar, iliyofanyika katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-3-2025.(Picha na Ikulu)