Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye kijiji cha Mwamayoka wilayani Igunga mkoa wa Tabora kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Upanuzi wa Mtandao Maji Safi ya Ziwa Victoria kutoka Mkomero hadi Mgongoro, Machi 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji Safi ya Ziwa Victoria kutoka Mkomero hadi Mgongoro katika kijiji cha Mwamayoka wilayani Igunga Mkoa wa Tabora, Machi 12, 2025. Wa pili kushoto ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Nassoro Hamdani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishika maji safi ya bomba wakati alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji Safi ya Ziwa Victoria kutoka mkomero hadi Mgongoro, Machi 12, 2025. Kulia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji Safi ya Ziwa Victoria kutoka mkomero hadi Mgongoro, Machi 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)