Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la kitegauchumi cha Chama Wilaya Ileje mkoani Songwe akiwa katika ziara ya kikazi mkoni humo. Katika tukio hilo Wasira aliongozana na viongozi mbalimbali wa CCM.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo.