Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza ambako alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya miaka minne ya uongozi wake ililoandaliwa na Waandishi wa Habari Mahiri wa Mkoa wa Mwanza katika ukumbi wa Tunza jijini Mwanza, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza ambako alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya miaka minne ya uongozi wake lililoandaliwa na Waandishi wa Habari Mahiri wa Mkoa wa Mwanza katika ukumbi wa Tunza jijini Mwanza, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na vingozi alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza ambako alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya miaka minne ya uongozi wake lioandaliwa na Waandishi wa Habari Mahiri wa Mkoa wa Mwanza katika ukumbi wa Tunza jijini Mwanza, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio ya miaka minne ya uongozi wake lilooandaliwa na Waandishi wa Habari Mahiri wa Mkoa wa Mwanza katika ukumbi wa Tunza jijini Mwanza, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).