RAIS wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mfanyabiashara maarufu Zanzibar Ndg.Said Bopar (kulia kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Ijumaa Chanjamjawiri Shehia ya Shungi Wilaya ya Chakechake Pemba,kwa ajili ya kugawa Sadaka ya Futari ilitolewa na Ndg.Bopar, hafla hiyo iliyofanyika leo 19-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi wa Kijiji cha Chanjamjawiri Bi. Mkongwe Sultan Hemed, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mskiti wa Ijumaa Chanjanjawiri leo 19-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadid Rashid.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi wa Kijiji cha Chanjamjawiri Mohamed Sharif Haji, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mskiti wa Ijumaa Chanjanjawiri leo 19-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadid Rashid na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe Sharif Ali Sharif.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi wa Kijiji cha Chanjamjawiri Khamis Shariff , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mskiti wa Ijumaa Chanjanjawiri leo 19-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kushoto) Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Said Bopar.(Picha na Ikulu).
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Rashid Hadid Rashid akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi, baada ya kumaliza kukabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Chanjamjawiri Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla hiyo iliyofanyika leo 19-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Chanjamjawiri, baada ya kumaliza kukabidhi Sadaka ya Futari , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mskiti wa Ijumaa Chanjamjawiri Shehia ya Shungi Wilaya ya Chakechake Pemba,iliyofanyika leo 19-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Chanjamjawiri, baada ya kumaliza kukabidhi Sadaka ya Futari , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mskiti wa Ijumaa Chanjamjawiri Shehia ya Shungi Wilaya ya Chakechake Pemba,iliyofanyika leo 19-3-2025.(Picha na Ikulu)