Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha kuchakata Mazao ya Misitu (TANWAT) cha Njombe, Nagendra Kumar (kulia) alipotembelea kiwanda hicho, Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Misitu (TANWAT) cha Njombe, Nagendra Kumar (kushoto) alipoembelea kiwanda hicho, Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Misitu (TANWAT) cha Njombe Machi, 21, 2025. Kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana na kulia kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaudi Kigahe.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama unga wa mbao unaotumika kutengeneza dawa alipotmbelea Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Misitu (TANWAT) cha Njombe, Machi 21, 2025. Kulia kwake ni Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho, Nagendra Kumar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Kuchakta wa Mazao ya Misitu alipokitembelea Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ubao mgumu uliochakatwa katika Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Misitu ( TANWAT ) kilichopo Njombe wakati alipokitembelea Machi 21, 2025. Kulia ni Meneja Mkuu wa kiwanda hicho Nagendra Kumar . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)