Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mti kwenye Uwanja wa Sabasaba uliopo Njombe Mjini ikiwa ni moja ya shamrashamra za Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Upandaji Miti Kitaifa, Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Upandji Miti Kitaifa kwenye Uwanja wa Sabasaba, Njombe Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakisikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani“ na Upandaji Miti Kitaifa kwenye Uwanja wa Sabasaba, Njombe Machi 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)