Matukio katika picha Viongozi mbalimbali wakiwa wamewasili katika Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi wa Sera ya Maji ya Mwaka 2022 Toleo la Mwaka 2025 ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo inafanyika leo Machi 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam